Nisaidieni namna yakufuta kumbukumbu kwenye PC yangu

nguvumali

JF-Expert Member
Sep 3, 2009
4,923
1,325
Mimi natumia PC ambayo tunashare na mwenzangu, sasa nina login kwenye forum kama jamii, baadae inabakiza kumbukumbu kuwa nguvumali alilogin, sasa inanikera sana.
naleta kwenu wanatechnolia ya computer ili niwze kuondokana nakero hii, nifanyeje kuondoa hali hii
 
kama unatumia Window IE,

Tools-->Internet Options,then katikati utaona kuna delete chagua hiyo then Delete all.
Umemaliza.
 
Mimi natumia Internet Explorer v6, huwa nazifuta kwa Tools > Internet Option > Content > Auto complete > Clear Forms.
 
Asanteni sana , mmenifundisha kitu cha msingi sana, sasa niko confident na mambo yangu. amani kwenu nyote.
 
Mimi natumia PC ambayo tunashare na mwenzangu, sasa nina login kwenye forum kama jamii, baadae inabakiza kumbukumbu kuwa nguvumali alilogin, sasa inanikera sana.
naleta kwenu wanatechnolia ya computer ili niwze kuondokana nakero hii, nifanyeje kuondoa hali hii

Pole muzee! Unaiibia kampuni eeh!.....natania mkulu,
 

Jaribu Kutumia hii nzuri sana na tena nyepesi
ATF-Cleaner.exe was once upon a time just my personal temp file cleaner. There became a need for a good temp file cleaner that could do the job safely and without removing files that are crucial to windows, so I decided I'd share it with the public.

ATF-Cleaner has recently picked up alot of interested in the various communities online.
ATF-Cleaners options are fairly straight forward and its simplicity is part of its charm.

The general instructions for its use on the forums are as follows:


  • Double-click ATF-Cleaner.exe to run the program.
    Under Main choose: Select All
    Click the Empty Selected button.
If you use Firefox browser
  • Click Firefox at the top and choose: Select All
    Click the Empty Selected button.
    NOTE: If you would like to keep your saved passwords, please click No at the prompt.
If you use Opera browser
  • Click Opera at the top and choose: Select All
    Click the Empty Selected button.
    NOTE: If you would like to keep your saved passwords, please click No at the prompt.
Click Exit on the Main menu to close the program.
For Technical Support, double-click the e-mail address located at the bottom of each menu. This will remove all files from the items that are checked so if you have some cookies you'd like to save. please move them to a different directory first.


Notes for Windows Vista users:
On Windows Vista that "Windows Temp" is disabled, to empty "Windows Temp" ATF-Cleaner must be "Run as an Administrator"
Prefetch has been disabled on Windows Vista. As I'm not sure the effects that emptying prefetch on Windows Vista will have for the time being it I won't enable that function.
Bonyeza hapa Please download ATF Cleaner by Atribune.
This program is for XP and Windows 2000 only ku Download bonyeza hapa http://www.atribune.org/index.php?option=com_content&task=view&id=25&Itemid=25
 
Au kama vipi tumia opera 10 usb. Ni portable browser ambayo utakuwa nayo kwenye flash drive yako. Hai-modify registry ya pc yako, na hutakiwi kufuta mambo yako. Vile vile ina V8 turbo Engine inayoongeza speed kwenye slow connections mfano gprs etc.
 
nami natatizo kidogo kama la nguvumali, nimejaribu kudelete kumbukumbu hizo kwenye PC yangu kwa kuingia Tool.....internet option,then delete lakini hazifutiki.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom