NISAIDIENI, mpenzi wangu haridhiki: anafika orgasm anataka tena, anafika anataka ... nifanyeje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NISAIDIENI, mpenzi wangu haridhiki: anafika orgasm anataka tena, anafika anataka ... nifanyeje?

Discussion in 'JF Doctor' started by NYAMKANG'ILI, Sep 10, 2012.

 1. N

  NYAMKANG'ILI JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 223
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  HABARI NDIYO HIYO, huyu dada ni chiboko: anafika orgasm, anataka tena, mnaendelea tena aaaaaaaaaaa ninachoka , anafika anataka tena ... NIFANYEJE? HII NI KERO
   
 2. bibliography

  bibliography JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 608
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  mpe namba yangu uone km atakusumbua tna
   
 3. Kig

  Kig JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 1,060
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Huu uzi ungefaa uwekwe kwenye jukwaa la mapenzi na mahusiano. naamini huko ndio nafasi yake. kuna watalaamu waliobobea kwenye hiyo fani.
  Lakini pia hujafunguka zaidi maana hueleweki nani anahitaji msaada. Yan kama ni demu wako ili asiwe na hamu kupita kiasi au wewe uwe na nguvu zaidi. Maana kwa haraka haraka unaonekana huna nguvu za kiume za kumridhisha. Kwa hiyo huyo demu si kiboko, bali wewe ndio unacheza chini ya kiwango. Hata timu ya JKT Ruvu ikicheza na wachovu inaweza wafunga hata bao kumi. Hii haimanishi JKT Ruvu ni kiboko, bali imekutana na kilaza. Nafikri umenipata. Kama vipi piga jelamba sana ili kiwango cha game kikue.
   
 4. Kizamani

  Kizamani JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Du, hongera umepata fursa unashindwa kuitumia. Kula supu ya pweza utaongeza nguvu. Changamka kijana acha kushoia. Ngoja atakavokutana na wataalam uone atakavokula kona.
   
 5. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  unaanza na foul play kwanza kabla ya kuingiza katika uchi wake. Hapa marekani, kuna vitu viitwavyo toys(uume wa bandia au viungo vya sex vya bandia) Unamuingiza uume wa bandia unavibrate kwa dakika kumi na tano na hapo utamsikia anapiga kelel za utamu mpaka anjisikia kumwaga .

  akimwaga kama mara sita hivi mwili wake hulegea sana na mapaja yake hutupa chali. Ndipo wewe unamuingiza kwa usongo na hata ukimwaga kimoja, halalmiki tena. kuna wanwake wa aina yake huitwa huugua ugonjwa unaoitwa nimpho. mwanamke akiwa nimpho hutaka sex kila baada ya saa moja na hatosheki kabisaa. hivyo dawa yake ni kununua toys nyingi sana ndipo utamridhisha
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  Mkuu jaribu njia hii huenda ikamridhisha mpenzi wako jaribu kisha unipe Feedback. Mkuu@[URL="https://www.jamiiforums.com/members/nyamkang-ili.html[/email]"]NYAMKANG'ILI[/URL]

  Piga nje-ndani kwa nguvu na haraka-haraka na kubadili mikao kila baada ya dakika chache mpaka binti wa watu anaomba "msamaha" haikufanyi kuwa mtaalamu wa kufanya ngono bali ni mtaalamu wa fujo na kumchosha mwenzio......

  Utaalamu wa kufanya ngono ni kujua kujizuia, utundu/ujuzi wa kutumia uume wako pale unapokuwa ndani.....unaruhusiwa kubadili "mirindimo" lakini kwa kujali na kwa upendo unless uambiwe tofauti na huyo umfanye kutokana na utamu/raha anayoipata.

  Kumchosha mtu kutokana "haraka zako" ktk mzunguuko wa kwanza sio ujanja bali ni ubinafsi.......anatakiwa kuchoka kutokana na kufika kileleni hali ambayo huwa haimalizi bali kuongeza hamu ya kungonoka.

  Uchovu wa mwili (aches) hujitokeza siku inayofuata na mara nyingi ni kutokana na kukaza misuli wakati unaita kilele au umefika mara nyingi.
   
 7. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  kuna kitu ya kihaya inaitwa KATERERO ushawahi kujaribu mkuu??
   
 8. N

  NYAMKANG'ILI JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 223
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  OK, thanx: imesomeka, substitute orgasm 4 organism
   
 9. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Inaelekea humtoshelezi!!!! Wengine wanataman huyo uliye naye maana wa kwao ni kama gogo, moja tu usingizi hadi wiki mbili tena!!! Yaani maisha bwana kichekesho!!!
   
Loading...