Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wow! Nimefurahi kusikia hivi, baba mwenye nyumba wangu ananiambia mwezi huu ndo natakiwe nimlipe Jodi yake tena.27.08.2021
Hesabu rahisi ni chukua mwezi uliolipa kodi jumlisha mara idadi ya miezi uliyolipia (eg 3+6months) jawabu utakalopata ndio mwezi kodi yako inapoisha.
Mkuu wewe unaongea kitu gani hiki?Inategemea ulihamia lini hapo, au contract yako inasemaje, siyo lini ililipa kodi. Unaweza ukawa umelipa kodi kabla ya tenant agreement yako, au ukawa umelipa kodi baada ya kuhamia. Mara nyingi tenant agreement zinaanza mwanzo wa mwezi (tarehe moja) au katikati ya mwezi (tarehe 15). Kwa hiyo piga mahesabu kuanzia siku ni lini tenant lease agreement yako imeanza
Kama umelipa tareh 19 leo. mwezi wa kwanza unaisha 18.8...hesabu mwenyewUmemsoma huyo wa juu yako... Analeta mambo ya tenant sijui Nini?
Kiswazi tarehe uliyolipia si ndio inahesabiwa jamani?
Wenye nyumba za kupangisha wanaelewa. Wewe ulipohamia hapo kwako ilikuwa lini? {Piga mahesabu kuanzia siku hiyo. Inaweza ikawa ndiyo siku hiyo hiyo uliyolipa na ndiyo siku ya kwanza.Mkuu wewe unaongea kitu gani hiki?
Kwani kabla ya kulipa ulikuwa unadaiwa kiasi gani!?Wow! Nimefurahi kusikia hivi, baba mwenye nyumba wangu ananiambia mwezi huu ndo natakiwe nimlipe Jodi yake tena.
Naenda kumuonyesha hii text yako.
Kodi kwa mwezi shilingi ngapi na umelipa shilingi ngapi!?Sikuwa nadaiwa chochote mkuu. Nimeingia na kulipa tarehe 27/02/2021.
Ndo nkawa nataka kujua Kodi yangu inaisha lini?
Nenda Sinza kwa Remmy kuna Bar nyingi tu kajipongeze ha ha haHaya ndio majibu Sasa.. nilikuwa nimeenda kutoa benki hela ya miezi sita tena... Ngoja nikajipongeze tu.