Nisaidieni mawazo hapa wakuu

Kodi inaisha mwezi huu wa saba tarehe 27, unatakiwa kulipa kodi nyingine tarehe 28. Au kwa kurahisisha unatakiwa ulipe mwezi wa nane tarehe 01.
 
Kodi inaisha mwezi huu wa saba tarehe 27, unatakiwa kulipa kodi nyingine tarehe 28. Au kwa kurahisisha unatakiwa ulipe mwezi wa nane tarehe 01.
Mbona unanivuruga tena? Wenye akili wamesema napaswa kulipa tarehe 28 mwezi wa nane.

Wewe unanivuruga.

We ushawai kulipa kweli hata kodi ya nyumba?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom