Nisaidieni maswali kwa kemia na bailojia.

Joined
Oct 29, 2012
Messages
86
Points
0
Joined Oct 29, 2012
86 0
1. Kwanini samaki anaweza kupumua akiwa ndani ya maji, lakini nchi kavu anakufa?
2. Oksijeni inaingiaje ndani ya maji na hali ya kuwa oksijeni ni nyepesi kuliko maji? (density ya oksijeni 0.00142g/cc, ya maji ni 1g/cc.
 

Forum statistics

Threads 1,391,020
Members 528,344
Posts 34,070,513
Top