Nisaidieni kwenye hizi Sms nimjibu nini..

NAPITA

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
5,076
2,243
g.jpg
 
Hahahahha ndio maana umri ulipofika nilioa kbs kwa ajili ya kuepuka upuuzi huu,hapo unaibiwa mkuu tafuta mwanamke wa maana uoe ufanye maendeleo.
 
Mwambia na wewe bahati mbaya alipokujibu tu uka-misplace atm card yako hivyo utamtafuta ukiipata!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom