Nisaidieni kutofautisha hizi taaluma.

Ziltan

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
2,647
6,829
Habari za leo ndugu zangu,
tafadhali nisaidieni,
hivi kuna tofauti gani kati ya-
a. Nurseing
b.phamarcy
msaada tafadhali ili nielewe hizo taalum,
 
Habari za leo ndugu zangu,
tafadhali nisaidieni,
hivi kuna tofauti gani kati ya-
a. Nurseing
b.phamarcy
msaada tafadhali ili nielewe hizo taalum,

simple answer;
NURSing ni kazi ya kuhudumia mgonjwa eg check up, tibu
pharmacy ni taaluma ya madawa ya kutibia.

sijadesa mjue
 
nursing ni kama fani ya medical kwa ujumla yan kwenye nursing unasoma mambo yafuatayo.medicine,pharmacology,basic nursing,fist aid,nutrition and childhealth,anatomy and physiology,public health,midwife sasa tofauti na pharmacy wale wanasoma pharmacology tu labda na hesabu.
 
Wote wawili wanaweza kufanya kazi ya mwenzie ila kila mmoja amebobea kwenye fani yake
 
Mkuu nurseing ina maana ya kumlea mtoto au kumtuza mgonjwa. Lakini kama ulikuwa na maana ya nurse maana yake ni muugizi.
Pharmarcy ni uchanganyaji au utengenezaji na utayarishaji wa madawa na pia ina maana ya chumba wanachotolea dawa hospitalini. Lakini kama ulikuwa na maana ya Pharmacist ina maana ya mtu mwenye ujuzi wa kuchanganya, kutengeneza na kutayarisha madawa.
 
kaka taifa mphamasia hawezi kufanya kazi ya muuguzi ila muuguzi anaweza kufanya kazi ya mphamasia,.am sure of this.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom