Nisaidieni kupata girlfriend

co fm

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
1,409
2,133
Habari za humu ndani wakuu,mimi ni kijana wa kiume umri wangu ni miaka 25,nimepanga hapa dar na nina jitegemea.
Hebu ni saidieni sehemu nzuri ya kupata girlfriend maaan naona kama tokea nipange now ni mwezi wa nane sijapata demu mzuri ninae mtaka,wengi hupata magirlfriend sehemu za kazi but kwangu sehemu yangu ya kazi hamna mabinti,wengine pia wanawapata kitaa too bad for me maana natoka saa 11asubuhi narudi saa mbili usiku na nimechoka nakosa hadi muda wa kuzurura kuangalia hata kama ninaweza kupata girlfriend,embu wakuu nisaidieni kwa hapa dar sehemu ipi ninaweza kupata girlfriend awe mzuri kwa haraka nimechoka kuwa mpweke.Note nataka girlfriend mwenye heshima zake nasio wale wanaojiuza
 
Inategemea na unataka wa aina gani,Tulienda kikazi mkoa Fulani rafiki zangu mmoja alikua anaenda hospitali ingawa haumwi yaani anenda tu kucheki afya huku kwenye foleni akiwapisha wazee na wajawazito ili asitoke haraka kumbe yuko kwenye mawindo mwisho aliopoa nesi.
Wa pili alikua anakomaa kituo cha polisi,yaani kila mara amepoteza leseni anataka loss report,kidogo tu ameibiwa laptop na vitambulisho,nae yuko na shem askari ingawa hana cheo.
Kwa hiyo na wewe komaa hata na wanaowahudumia chakula au nao wanaume?,basi muda wa kurudi angalia makondakta wa daladala wengi mademu siku hizi.
Ila na wewe mkuu umezidi hata watoto wa mwenye nyumba au wapangaji wenzio???
Tusihangaike kumbe domo zege?
 
Piga kazi kwanza ....heshima pesa ikifika Dec chukua likizo jiachae mitaani huku ukila bata kwa raha zako..wallahi nakuapia humalizi wiki ulimbo utanasa
 
Habari za humu ndani wakuu, mimi ni kijana wa kiume umri wangu ni miaka 25, nimepanga hapa Dar na nina jitegemea. Hebu ni saidieni sehemu nzuri ya kupata girlfriend maana naona kama tokea nipange now ni mwezi wa nane sijapata demu mzuri ninayemtaka.

Wengi hupata magirlfriend sehemu za kazi but kwangu sehemu yangu ya kazi hamna mabinti, wengine pia wanawapata kitaa too bad for me maana natoka saa 11 asubuhi narudi saa mbili usiku na nimechoka nakosa hadi muda wa kuzurura kuangalia hata kama ninaweza kupata girlfriend.

Hebu wakuu nisaidieni kwa hapa Dar sehemu ipi ninaweza kupata girlfriend awe mzuri kwa haraka nimechoka kuwa mpweke. Note nataka girlfriend mwenye heshima zake nasio wale wanaojiuza
😂😂😂. Broo kuwa serious bhawa🤣🤣🤣🤣. Ckuizi hawa wadada wanakuja wenyewe but cha msingi mfuko usomekee. Tafuta pesaa kwanzaa then utapata utakacho cha msingi ni pesa.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom