bwegebwege
JF-Expert Member
- Jul 30, 2010
- 1,072
- 185
Jamani ndugu yangu anasaka mtaalamu wa jenereta akamtengenezee imsaidie kipindi hiki cha umeme wa mgao! Ni jenereta ndogo ya matumizi ya nyumbani tu, kama wamfahamu mtu au una contacts zake tafadhali ni-PM au nijibu kwenye post hii moja kwa moja...
Nawasilisha
Nawasilisha