nisaidieni kupata ajira au mawazo ya ujasiliamali

norita

New Member
May 9, 2013
3
0
nina degree ya uchumi gpa 3points na advance nilisoma eca cjawahi hata kuitwa interview tangu 2011.
 
Are u serious,mbona degree za uchumi ni dili sana mtaani?yani,hata ubank teller umeukosa?
 
Sumbua akili utatoka, japo mlipewa elimu ili muajiriwe angalia na opportunity nyingine za kujiajili sio lazima kila alieingia chuo aajiriwe
 
Nakushauri nenda kwenye jukwaa la business & economics kuna threads za ujasiriamali nyingi zitakusaidia tu ila chamsingi..umiza kichwa sana ndugu idea zinatafutwa hizi za kupewa na watu unaweza usiwe na moyo wa kuzifatilia ila ndugu..fikiria umiza kichwa sana aisee..!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom