Nisaidieni kumwelewa huyu boss

lolypop

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
2,430
1,681
IMG_20180429_082153.jpg
IMG_20180429_082200.jpg
Hakika sijawi kumuelewa sijui ni nani anamshauri
 
Huduma za afya mikoani ni za kubahatisha. Mpaka sasa hivi ukiwa mgonjwa kama uko Maramba ndugu zako wata changa hela upelekwe Dar kwenye vipimo vya kueleweka. Kama ndugu hawana pesa au huna ndugu basi utasubiri kuimbiwa parapanda
 
Hata mie ningekuwa hivyo hivyo tu,watz mnachonga sana wakati hata kutunza vyumba vya madarasa huwa hamuwezi. Mwacheni anunue madege afya na elimu kila mtu atajua mwenyewe. Kama vp nenda kwa mganga wa jadi huwa hataki CT scan wala nini na tunapona vile vile.
 
Kiukwel huyu jamaa nazana wakati ws udogo waje kuna vitu alikuwa anavitamani sana sems hakuwa na uwezo navyo yani hakuvipata haiingii akilini unanunua madege ambayo kwa mtanzania wa hali ya chini hayana yanacho msaidia na kushindwa kununua mashine za kufanya vipimo vya magonjwa mbali mbali ambayo vingesaidia wananchi wote kwa ujumla
 
Back
Top Bottom