Nisaidieni kujua athari za kiafya za Kula denda

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,298
8,206
Wakuu habari za Leo,

Kiukweli kuna tatizo linanisumbua ambalo halijawai kunisumbua kabisa.

Nahitaji kujua kwenu ni athari zipi za kiafya anaweza kuzipata mtu anayekula denda.
 
Back
Top Bottom