Nisaidieni kuirekebisha laptop yangu jamani.

Bornvilla

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
924
271
Nikiweka modem ukikonekti tu inakata pia kanatokea kaalama usb, ukikaclick kanaleta baloon kanakwambia reset. Unafanya hivyo kisha zoezi linjirudia ukikonekti inakata tena. Nimejaribu nimeona kwenye ports zile serial universal bus moja wapo inakuwa na alama ya kushangaa ya njano . Nimejaribu ku ka unistall na kubootsafe lakini kila siku tatizo ni hilohilo. Kuna wakati unaweza kukonekti ukaingia net kwa muda hata nusu saa halafu ikakata tu ghafla. Hebu nisaidieni nmia ya kulitatua hili tatizo. Natumia dell latitude windows xp2
 
toa ushauri akichemka atakutafuta tu kama kila mtu akitaka hela haina hajayakuwa na hii forum..

Anachotakiwa kukifanya nikuwa na cd drive ya hyo laptop alafu afanye installation ya usb drive na ikigoma basi achange window ingine...au kama hana cd drive basi anaweza hata kudownload drive akafanya installation..ya usb drv na laptop ikapiga kazi kama kawaida
 
hapo ndio umetoa msaada ikitokea kashindwa atakuPM tu usiogope..
 
Back
Top Bottom