rfjt
Senior Member
- Jun 29, 2011
- 186
- 62
Habari wanaJF
Niliidownload VerbAce Pro 8 version 2.2.0.0 na kuitumia kwa wiki moja ikiwa ni trial version. Kwangu ilikuwa nzuri sana kwani ilikuwa inanisahisishia katika masomo yangu ya lugha. Baada ya muda wake kwisha nimekuwa napata taabu sana kufuatilia maana ya maneno mbalimbali. Nimejaribu kuitafuta kwa torrents sikufanikiwa na hivyo ninaiforward case hii kwenu wataalam.
Natanguliza shukran kwa mtaalam anayeweza kunisaidia niwe na software hii kwenye pc yangu.