Nisaidieni kuhusu hili la MWEZI

Mwezi wa angani huzunguka dunia siku 28 au 29 miezi ya kalenda huenda mpaka siku 31.waislam miezi yao hufuata ya angani.pia period za kina mama hufuata mzunguko wa siku 28 kawaida
 
BONGOLALA umenifundisha, kwahiyo miezi 12 maana yake mwezi umeizunguka dunia mara 12 na kila mzunguko ni mwezi 1?
 
Back
Top Bottom