Nisaidieni kuelewa, inakuwaje mtu anatrack msg zote za simu ya mtu fulani?

SIPIYU30

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
1,614
2,009
Najua alternative moja tuu, kwenda au kutumia makampuni ya simu kutrack mawasiliano ya mtu fulani kwa sababu fulani. Je kuna technology nyingine? Kuna mtu nimemsikia analalamika sana kuwa kuna mtu anamletea taarifa ya kila msg anayoituma kwa watu, kiasi kwamba haoni tena umuhimu wa kutumia simu. Just help me know, na pia nimshaurije huyu mtu.
 
Kuna programs unaweza kuinstal katika baadhi ya simu ambayo inatuma copy ya kila msg unayotuma kwa namba yoyote ile. So mshauri aifanye factory reset hiyo simu na kisha asiwe anampa mtu yoyote chance ya kuinstall software humo ndani au awe anatumia simu simple kama nokia tochi ambazo hazipokei program.
 
kuna program nyingine ndio zinazo tumiwa sana na mashirika yakiserekali na polisi hawitaji kushika simu yako wakijua tu namba yako wana ona kila kitu unacho fanya kwenye simu yako hata kama ni facebook ,whatsup wana ona na ina record maongezi na na ina onesha location uliopo hata kama simu yako ni ya tochi.kwa hiyo software zipo sema kuzipata ni issue unless una jamaa wako kwenye hayo mashirika ndio anaweza kupa tena ni msala mkubwa akijulikana au una weza nunua
 
Kuna watu wana nafasi ya kufanya mambo mengi sana. Hiyo ya factory settings ama formatting itasaidia. Pole yake.
 
Unatuma barua na kumpa tarishi halafu bado waita siri,hata msomaji anasomewa barua wewe bado umeigonga muhuri wa Confidential na kuamini hivyo?labda ungeipeleka mwenyewe na mtumiwa akishaisoma muichome moto
Wewe upo Kigoma unamtuma mshenga airtel na voda wampelekee posa Kin'gasti yupo moshi halafu unadai ni siri...kalaghabhao
 
Last edited by a moderator:
Najua alternative moja tuu, kwenda au kutumia makampuni ya simu kutrack mawasiliano ya mtu fulani kwa sababu fulani. Je kuna technology nyingine? Kuna mtu nimemsikia analalamika sana kuwa kuna mtu anamletea taarifa ya kila msg anayoituma kwa watu, kiasi kwamba haoni tena umuhimu wa kutumia simu. Just help me know, na pia nimshaurije huyu mtu.
cheki hapa SpyBubble - Mobile Phone Spy Application Compatible with iPhone, Windows, Blackberry, Symbian and Android based Phones utaelewa vizuri!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom