Nisaidieni kiwawazo tumsaidie kijana mwenzetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidieni kiwawazo tumsaidie kijana mwenzetu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by blessing 18, Jan 17, 2012.

 1. b

  blessing 18 Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina rafiki yangu ameoa na anawatoto wawili. Tatizo mke wake anamdharau sana hamsikilizi kwa lolote lile. Wakati mmewake anawatunza yeye pamoja na ndugu zake. Ukiangalia kaka huyu hana ndugu kwani wazazi wake walifariki toka akiwa na umri mdogo akalelewa na watu baki na si ndugu zake, alipomaliza masomo na kupata kazi akaamua kuoa ili aweze kufarijika matokeo yake amezidi kujiongezea matatizo

  Rafiki yangu huyu anataka akimbilie nje ya nchi amwachie mwanamke nyumba na watoto.

  Naleta kwenu swala hili tusaidiane
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Kukimbia matatizo/changamoto ni uoga,..mwambie apambane akiona vip aachane na huyo mwananmke lakini sio kukimbia tena unakimbia nchi kabisa,...ni sawa na mtu ambaye akipatwa na tatizo anakimbilia kujinyonga.
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Akimbie? Anamuogopa huyo mwanamke? Hua anapigwa?

  Kama anaona hawezi kuendelea kuishi nae tena amwache aanze upya. . . hamna haja ya kukimbia, unless kuna kitu kibaya anapanga kufanya kabla hajakimbia.
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Badala akimbilie ndani yeye anataka kukimbilia nje?
  Mwambie nje kuna simba watamla.
   
 5. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  hivi kumbe kuachana na mtu ni ngumu hivi?
  stuka ,tulia weka sawa implement mfumo dume.
  awe mean and rude.....source; kongosho.
   
 6. GIUSEPPE

  GIUSEPPE JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 4,489
  Likes Received: 4,502
  Trophy Points: 280
  Sasa kwani ukisema ni wewe tutakudharau?

  OK!! By the way, yanini kukimbia? achana nae, muachie hiyo nyumba na watoto, yanini kujitia presha? Ukisha mtema haina haja ya kuoa tena wachana na haya mapresha ya maisha, utajitesa bure kisha upunguze muda wako wa kuishi.
   
 7. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Kukimbia matatizo ni kujiongezea matatizo njia nzuri ni kutafuta suluhisho.
  Mwambie aongee na mkewe kuhusiana na hilo jambo. Ikishindikana aongee na wazee wa mke wake au viongozi wake wa dini wajadili hayo matatizo yao.
  Mwisho vyote vikishindikana, aachane na mkewe alee watoto wake yeye mwenyewe kwani ameshindikana huyo mke.
   
 8. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwani aliambiwa asimuache Hata Kama anataka kumtoa roho? Mwambie ajikaze kiume amalize tatizo,yeye ameoa hakuolewa....
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kwani kaoa au kaolewa? ASTOPISHE MISAADA YOTE KWA NDUGU WA MKE NA MATUMIZI YA MKE AYAPUNGUZE SANA,
   
 10. BRO LEE

  BRO LEE JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 580
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Akimbie!! Mwambie afanye uchunguzi huenda kuna fahari mwingine anayeendesha kichwa cha mkewe kwa remote. Mwambie awe mwanaume ;awe tayari kufanya maamuzi magumu.

  Huenda mkewe ameshajua udhaifu wake wa kufanya maamuzi ndo maana anatingisha kiberiti.
   
 11. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #11
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  mpe pole mwambie aende ustawi wa jamii akatoe malalamiko yake
   
 12. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #12
  Jan 17, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mwambie dogo aowe mke wa pili tu hio ndo dawa ya wanawake.
   
 13. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #13
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kama dini inaruhusu aoe mke wa pili,huyo mke wake lazima ataulie,na kama dini yake hairuhusu,atafute kimada wa nje,ili atulizie mawazo huko,huyo wife wake akihisi kuwa jamaa ana kimada,lazima arudishe adabu yake
   
 14. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #14
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Duh!MWANAUME hayuko kama huyu:source Aspirin
   
 15. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #15
  Jan 18, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Dini gani isio ruhusu uowe mke wa pili?? Hao si wanamzulia Yesu uwongo tu.
   
 16. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #16
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  akikimbia atakuwa hajasolve tatizo mshauri akae chini na mkewe wazungumze ikiwezekana awashirikishe waliomsimamia ndoa yake kupata suluhu
   
Loading...