Nisaidieni jinsi ya kuapata IMEI ya Huawei modem yangu

Mawenzi

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,251
344
Nataka ku-unlock modem yangu Model E1550. Nimesoma misaada mingi humu jamvini ya jinsi ya ku-unlock, lakini yote inataka u-provide IMEI ya modem. Nimeiangalia sana modem yangu sijaona hiyo IMEI. Naomba msaada wa jinsi ya kupata IMEI ya modem yangu tafadhali
 
Hi unaweza kwa urahisi kufungua Modem yako huawei e1550 kwa kutumia code kufungua. Kama unahitaji kufungua code unaweza kutembelea tovuti hii Mobileunlocksolutions.com hapa unaweza kupata kanuni na kufungua Modem yako kwa urahisi.
 
Nataka ku-unlock modem yangu Model E1550. Nimesoma misaada mingi humu jamvini ya jinsi ya ku-unlock, lakini yote inataka u-provide IMEI ya modem. Nimeiangalia sana modem yangu sijaona hiyo IMEI. Naomba msaada wa jinsi ya kupata IMEI ya modem yangu tafadhali

niko mbali na pc ila kwny dashboard ya huawei mobile partner kwenye options ipo sehemu inakuonesha imei na details zingine za modem,

alternatively ukitumia app za ku unlock kama huawei unlocker, uwa zinaonesha taarifa za modem ikiwemo imei
 
doracute she 's a verified old threads Digger !

C6 You've seen now what you've been (done)quoted !

Expired thread from 2010 !
I guess quoted member he's inactive at the moment !

Hope so it will help others !
 
Last edited by a moderator:
Nataka ku-unlock modem yangu Model E1550. Nimesoma misaada mingi humu jamvini ya jinsi ya ku-unlock, lakini yote inataka u-provide IMEI ya modem. Nimeiangalia sana modem yangu sijaona hiyo IMEI. Naomba msaada wa jinsi ya kupata IMEI ya modem yangu tafadhali

program zipo nyingi sana tumia QPST ukishindwa ni pm
 
Back
Top Bottom