Mawenzi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 1,251
- 345
Nataka ku-unlock modem yangu Model E1550. Nimesoma misaada mingi humu jamvini ya jinsi ya ku-unlock, lakini yote inataka u-provide IMEI ya modem. Nimeiangalia sana modem yangu sijaona hiyo IMEI. Naomba msaada wa jinsi ya kupata IMEI ya modem yangu tafadhali