Nisaidieni jinsi ya kuanzisha thread

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,285
Watu wangu wa nguvu mpo?
Niliadimika kidogo katika jukwaa letu, kwa ambao naonekana mgeni kwenu wala msiwaze mkadhani mumeingiliwa... Mie ni mwanafamilia wa CC niliyerudi kundini.
Sema yote tisa, nimesahau jinsi ya kuanzisha uzi wadau, zamani uzi wa CC ulikuwa si mrefu sana na ilikuwa lazima upaishe watu ndo ueleweke mfano wapi papaa Judgement, mamaa ya nguvu Rich woman, pedeshee Baba V na Nzambe, platozoom mutu ya nguvu, Mama Cantalisia na kati ya Sinza, wapi watu8 mutu ya faranga na kadhalika na kadhalika...
Aliye tayari ajitolee kunipamo maelekezo ya awali.
 
Last edited by a moderator:

swaiba Mphamvu kweli uliadimika jamani karibu tena CC.

BTW Nilishahama huo mji wenu just chake my location siku hizi napatika Arachuga arifu lol
 
Last edited by a moderator:
Karibu tena naamini hatujuani wala hatufahamiani wala hatujawahi kuonana wala hatujawahi kuwasiliana popote pale..mimi naitwa Mshana jr, ni mkaka niliingia Hapa CC nikitokea MMU, nilikuja singo bachela ila naishukuru familia hii kwa kunilea hadi kunipa mke mzuri kupita vigoli wote aitwaye mamaa Angel Nylon...!
Karibu sana
 
Watu wangu wa nguvu mpo?
Niliadimika kidogo katika jukwaa letu, kwa ambao naonekana mgeni kwenu wala msiwaze mkadhani mumeingiliwa... Mie ni mwanafamilia wa CC niliyerudi kundini.
Sema yote tisa, nimesahau jinsi ya kuanzisha uzi wadau, zamani uzi wa CC ulikuwa si mrefu sana na ilikuwa lazima upaishe watu ndo ueleweke mfano wapi papaa Judgement, mamaa ya nguvu Rich woman, pedeshee Baba V na Nzambe, platozoom mutu ya nguvu, Mama Cantalisia na kati ya Sinza, wapi watu8 mutu ya faranga na kadhalika na kadhalika...
Aliye tayari ajitolee kunipamo maelekezo ya awali.

Kaka Mphamvu, nafurahi kukuona tena hapa, hata mie nilipotea sana, na sasa nimerudi nipo, nilikuwa nawaza naanza vipi!! Ila umebisaidia kweli
 
Last edited by a moderator:
Kaka Mphamvu, nafurahi kukuona tena hapa, hata mie nilipotea sana, na sasa nimerudi nipo, nilikuwa nawaza naanza vipi!! Ila umebisaidia kweli

Nyota yangu haina shida sana, we isafirie tu mkaka...
 
Last edited by a moderator:
Sio kweli Mphamvu labda km ulikuja kinyemela lkn ukitujulisha wing yetu tunapenda wageni bana wala hatuwakiimbii bana

Cantalisiaa upo??? Rejao hajambo? Upo dada yangu.... nasubiri nikusikie tena..... smiling saint....
 
Last edited by a moderator:
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom