Nisaidieni jinsi ya ku config Airtel internet

kwenye computer au internet?
kwenye simu fungua new message andika neno portal kwenda 232..... then utapokea maconfig ya airtel internet...
kwenye computer open-up new dial-up connection-- jina= Airtel Internet, alafu dial-up number ni *99# == username & password usiweke.....
apo tayari ... kama kuna problem kuwa specific zaidi..........
 
Bado.inagoma.inasema port is closed
 
naomba unieleze unatumia modem ya aina gani (model gani na pia kama ni HUAWEI ama ZTE) na pia ulikuwa ukitumia steps gani wakati wa kui config mara ya kwanza. kuwa more specific ili tujuwe wapi ndo kunashida..
 
Back
Top Bottom