Nisaidieni jina la huu wimbo

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,351
OK guys huu wimbo nakumbuka tu lyrics zake nataka kudownload

sio stori za machiz wakikaa
bling kwamba siku hizi nakosa furaha
am sorry kama nilijikwaa
mana hata tenda tz anajua we mshumaa maa
bling bling unaniacha kwenye giza
kama chizi kila kona nakatiza
honey please hata amba ungemweleza

and so on................ help me guys
 
Viva xmass!
 
Story za Machizi wakikaa
 
Chizi ananga machizi wenzake ingependeza.
 
Hiyo track ya yaki inaitwa tonight. Kama cjakosea chorus yake kuna kisaut kinasema night i dont feel alright, unavokaa kimya,basi tuma sms...
 
OK guys huu wimbo nakumbuka tu lyrics zake nataka kudownload

sio stori za machiz wakikaa
bling kwamba siku hizi nakosa furaha
am sorry kama nilijikwaa
mana hata tenda tz anajua we mshumaa maa
bling bling unaniacha kwenye giza
kama chizi kila kona nakatiza
honey please hata amba ungemweleza

and so on................ help me guys

Wimbo unaitwa Tonight kaimba Yakii...Tafuta na wimbo wake mwingine unaitwa We ni wangu yp na Farida..
Jamaa muzik anauweza sana ila sijui kwa nini hayupo serious.
 
Hiyo track ya yaki inaitwa tonight. Kama cjakosea chorus yake kuna kisaut kinasema night i dont feel alright, unavokaa kimya,basi tuma sms...

Safi sana::
Aisearch youtube ataipata::Yaki-Tonight kama hakikosa audio yake nitamuattachia maana ilitoka mwaka 2008 hii track....
 
Mie mwenzenu natafuta kuna nyimbo moja ya zamani, ila siujui jina. akapera yake ni; "Chakduu chakduu, chachacha chakduu" ipo kwenye miondoko ya Hot funk. kwa anayejua walau jina la wimbo naomba anitajie. natanguliza shukrani kwa msaada wenu. Huu wimbo ulinipa ushindi nilipokuwa njuka kwenye wellcome form one mwaka 1990.
 
hiyo nyimbo inaitwa JACK GROOVE, ila sikumbuki wapigaji wake. Hii nyimbo marehemu Dj Kalikali alikuwa anapenda sana kurap ndani ya YMCA miaka ya 85-90.
 
hiyo nyimbo inaitwa JACK GROOVE, ila sikumbuki wapigaji wake. Hii nyimbo marehemu Dj Kalikali alikuwa anapenda sana kurap ndani ya YMCA miaka ya 85-90.

Hasante mkuu. Nimeshaunyonya. Umeimbwa na Raze - 'Jack the Groove".
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom