Nisaidieni jamani

mshewa2

Member
Oct 30, 2012
77
12
Jamani naombeni masses wenu wanajf I had a bf ambaye tulikuwa in relationship for 4 years ila we couldn't make it tutaachana nikaolewa na mwanaume mwingine,
The problem is I can't forget my ex boyfriend haipiti siku sijamkumbuka,I always dream of him,,hatuna mawasiliano na wala siyataki,I jus want to love my husband I think what I'm doing isn't fair for him.....
 
Wewe mwanandoa, acha kabisa kuwaza na kutamani MWANAUME HASIYE KUWA MME WAKO, yule siyo wako, tena ukifanya hivyo UNAZINI, Huyo ni shetani anakusumbua. TULIZANA...
 
Inaelekea huyo ex boyfriend wako alikuatosheleza kuliko mumeo ndo maana unamkumbuka.
Au nini kinachokufanyia umkumbuke kiasi hicho?
:laser:mshewa2 njoo hapa unijibu swali langu.
 
Inaonekana maamuzi yako ya kuolewa yalikuwa ni ya kukurupuka ukidhani kufanya hivyo itasaidia kumsahau x wako, so uliolewa bila ya kuwa na mapenzi ya dhati kwa huyo mwanaume.Hapo ndipo ulipokosea yaani umeongeza tatizo kwa kudhani unatatua tatizo.


Kwa maoni yangu nadhani hapo hiyo ndoa itaendelea kuwa geresha tu maana ikipatikana nafasi ya huyo X wako kuonana na wewe basi lolote laweza kutokea ikiwepo mambo yetu yaleeee!! Kwa ushauri ni bora ujipange upya maana kuanza upya si ujinga, hapo hakuta kuwa na uaminifu kwenye ndoa yenu kamwe.
 
Inaelekea huyo ex boyfriend wako alikuatosheleza kuliko mumeo ndo maana unamkumbuka.
Au nini kinachokufanyia umkumbuke kiasi hicho?
:laser:mshewa2 njoo hapa unijibu swali langu.

Sio kuwa mume wangu hanitoshelezi Nop,ila hata mimi Sijui ni nini ndo maana naomba mnisaidie cha kufanya nimsahau,may be coz we spent so much time 2gether,
 
Pole. Shida yako wewe ni mharibifu au una shetani wa uharibifu. Unaonyesha kabisa huna feelings nae ila unahangaika tu kuharibu ndoa yako. Mwanamke pata akili then ujenge ndoa yako, concentrate na ulie nae uache ujinga.
 
sio kuwa mume wangu hanitoshelezi nop,ila hata mimi sijui ni nini ndo maana naomba mnisaidie cha kufanya nimsahau,may be coz we spent so much time 2gether,


hapo nilipo-bold naomba kama unaweza mwambie mmeo afanye yale aliyokuwa akifanya basha wako wa zamani....

Lakini from my stupid brain and thinking...naamini ulikurupuka big tyme baada ya break-up na mpenzi wako ukakimbiliwa kuolewa na mtu usiyempenda just to show-off to ur x-basha..sasa majuto mjukuu..na ndoa yenyewe ukute ndio hizi zetu za kikatoliki...mpaka kifo kiwatenganishe

or else..mtafute bashawako wa zamani muanze kumuibia penzi mumeo wa ndoa...kiingereza wanaiitain-fedelis castro..

Ahahahaha unaloooooo mtoto wa kike kuolewa sunnah na kutoa shomboooooo.
 
Unajua hata mumeo haachi kumkumbuka mpenzi wake wa zamani!Yaani aliamua kukuoa wewe kwa kuweka heshima tu kwa jamii,hata wakati wa majambozi ili afike mshindo ni lazima amfikirie mpenzi wake wa zamani kwanza ndio mambo yanakuja.
 
we jaribu kupoteza 2 hayo mawazo na muombe 2 mungu dadangu icje ukaanza na kupoteza hica juu yk yan huyo shemeji ye2 au ulilazimishwa kuolewa?
 
Haya ndo madhara ya kupenda kabla ya ndoa.

Ungejituliza nyumbani kwenu mpaa time ya kuolewa, yasinge kukuta hayo.
 
achana na hayo mawazo kbs dadangu we muombe mungu akusaidie upoteze hayo mawazo acje shetan akaingilia ktkt ukaanza na kupoteza hica kwa shemeji et coz mawazo yanakuwa kwa m2 mwingine au uliolewa ka lazima?
 
Huyo zilipendwa wako mmezaa naye Mtoto?[/QUOTE

Hapana hakuwa amenioa,jus a longtime relationship,
Sijakuuliza kama alikuowa, nimeuliza mna mtoto naye? kama huna Mtoto naye maana yake hakuna bond hapo inayokusukuma wewe kuendelea kumuwaza yeye, close Gadget n move on. Don't kiss the wind unaweza wewe ukawa unamuwaza kumbe mwenzako hajawahi kukuwaza na aliye naye sasa anamtosheleza labda kuliko ulivyokuwa wewe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom