Nisaidieni jamani ni mjibu ustadhi wangu

Aug 17, 2016
69
45
asalamu wana jf .. kuna shekh wangu huwa anapenda sana kuniomba ushauri juzi tulikuwa tunapiga story akaniambia"" mgosi unajua mm nina matatizo yaan msichana au mwanamke akiniita kwa jina langu rama huwa najiskia vibaya nahis hisia za mapenzi zina nijia na jamaa anasimama kabisa """ kwakeli nilishindwa humjibu nikamwambia subir nitakupa jibu huwa sisi tunapenda kumuita ustadhi na ndio jina ambalo watu wengi humuita kwalo

naombeni mwenye utaalamu wa hili au afanye nn hii hali isimtokee
karibun ninasubiri mchango wenu ni mfikishiee
 
Mkiwa Hamna hisia mnalalama,mkiwa Nazo mnalaumu,yaani ustadh mzima hajui hata kushukuru neema za Muumba wake? Amepewa ruksa ya kuoa wake wanne bado hajajua jinsi gani ya kudhibit hisia zake? OK iko hivi fact zinasema kua mpenzi wako akikuita jina lako kwa mkato au jina LA nyumbani hua inaamsha hisia za kimapenz au mahaba,so asiendelee kupanic na vitu vidogo hvo
 
asalamu wana jf .. kuna shekh wangu huwa anapenda sana kuniomba ushauri juzi tulikuwa tunapiga story akaniambia"" mgosi unajua mm nina matatizo yaan msichana au mwanamke akiniita kwa jina langu rama huwa najiskia vibaya nahis hisia za mapenzi zina nijia na jamaa anasimama kabisa """ kwakeli nilishindwa humjibu nikamwambia subir nitakupa jibu huwa sisi tunapenda kumuita ustadhi na ndio jina ambalo watu wengi humuita kwalo

naombeni mwenye utaalamu wa hili au afanye nn hii hali isimtokee
karibun ninasubiri mchango wenu ni mfikishiee
OSHIE Nn swali an ijo mghosh wa huulika iwe?
 
Mwanaume Mwenzio akiwa anakueleza kueleza Masuala yake yanayosababisha Uume wake kusimama Mara kwa Mara kuwa na tahadhari chochote kinaweza kukutokea.

Ungemuuliza Mama au Dada yake akimwita pia Mwamvuli huwa unafunguka?
asalamu wana jf .. kuna shekh wangu huwa anapenda sana kuniomba ushauri juzi tulikuwa tunapiga story akaniambia"" mgosi unajua mm nina matatizo yaan msichana au mwanamke akiniita kwa jina langu rama huwa najiskia vibaya nahis hisia za mapenzi zina nijia na jamaa anasimama kabisa """ kwakeli nilishindwa humjibu nikamwambia subir nitakupa jibu huwa sisi tunapenda kumuita ustadhi na ndio jina ambalo watu wengi humuita kwalo

naombeni mwenye utaalamu wa hili au afanye nn hii hali isimtokee
karibun ninasubiri mchango wenu ni mfikishiee

Kweli uchaguzi wa Mwaka jana ulikuwa mchungu!
 
Aoe mke, ikiwa bado aongeze na kama bado hali inaendelea imalizie idadi ya wanne. Hakuna tiba mbadala hapo.
 
Back
Top Bottom