Nisaidieni jamani natafuta chuo cha Kusomea ICT kwa TV na Radio

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Wana wa JF mambo vp? Natumai hamjambo.Tafadhalini sana naombeni msaada wenu wa kimawazo kwa wanaofahamu kwa hapa kwetu Tanzania ni wapi nitakapopata elimu juu ya maswala ya mawasiliano ya satelite hasa kwa upande wa Radio Televisheni na intaneti.
Nianayo hamu sana ya kuyafahamu mambo hayo

Mkuu hata mm naisaka sana hiyo kitu but pale dit kuna short course inaitwa communication system design still naifuatilia

contents zake ni integrated network design(fibre, VSAT and WiFi technology) ,site knowledge/survey, site implementation device and tools, Network implementation,Network Maintenance na Field work.

Mkuu hata mm naisaka sana hiyo kitu but pale dit kuna short course inaitwa communication system design still naifuatilia

Mkuu hiyo short course inaghalimu muda gani na gharama yake ni sh ngapi?.Pia tofauti na hapo hakuna? Chuo kingine?

Hii ndio kweli elimu, watu wanaangalia soko then wanaenda kutafuta course tena kwa kuangalia course contents. Sio watu wanaenda kichwakichwa tu.

Mkuu jaribu Rusia, China, Japan na Korea. Kumetulia sana. Bongo labda kama matokeo yako siyo safi sana ndo inabidi ukomae kibishi kibishi ila unaweza kuishia kupata stress tu hata hayo maujuzi usiyapate bongo. Kama uko tayari tuanze mchakato wa kukutafutia mazaga zaga ya nje uruke fasta mwakani january huyoo unapiga lugha kwanza mwaka mzima.

Mkuu uwezo wa kwenda nje sina mimi naulizia vyuo vilivyopo hapahapa kwetu bongo

Mkuu hiyo short course inaghalimu muda gani na gharama yake ni sh ngapi?.Pia tofauti na hapo hakuna? Chuo kingine?

Ni laki tano mkuu na ni 4 weeks(96 hours), apart from dit sijajua chuo kingine college nyingi za ict tz hazina course za telecom.

Wana wa JF mambo vp? Natumai hamjambo.Tafadhalini sana naombeni msaada wenu wa kimawazo kwa wanaofahamu kwa hapa kwetu Tanzania ni wapi nitakapopata elimu juu ya maswala ya mawasiliano ya satelite hasa kwa upande wa Radio Televisheni na intaneti.
Nianayo hamu sana ya kuyafahamu mambo hayo

Mkuu ka naeza pata contact zako itakua poa sana kuna mambo za kuarrange kidogo

Back
Top Bottom