nisaidieni jamani kutafuna kwangu ni ndoto,eeh mungu nisaidie | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nisaidieni jamani kutafuna kwangu ni ndoto,eeh mungu nisaidie

Discussion in 'JF Doctor' started by BLISS, Jul 8, 2011.

 1. BLISS

  BLISS Member

  #1
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani naombeni mnijulishe dawa ya meno naumwa na meno yote kinywani yaani hayataki kutafuna kitu najaribu kupiga mswaki but sipati nafuu sielewi ni nini tatizo, maana yako 2 yaliotoboka lakini nashangaa yanauma yote sielewi ni ugonjwa gani, wataalamu naomba mnishauri dawa itakayoweza kunisaidia,

  mbarikiwe
   
 2. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Nashauriungechukua hatua uende kwa dakatari mzoefu na mtaalam wa meno atakupa ushauri na jambo la kufanya kunusuru meno yako,ila pia wataalam wa miti shamba wanaweza kukusaidia kuutatua tatizo lako;nilimsikia Dr Dondi akishauri kusukutua meno yako kwa kutumia matunda flani ya porini inaitwa 'ndulele' [sijui kama inaandikwa hivvyo] pamoja na limau baada ya kuswaki usiku kabla ya kulala,alaishauri baada ya kusukutua na hayo maji yenye mchanganyiko huo,usisukutue na maji haya ya kawaida,fanya hivyo kila siku mpaka utakapojisikia ahueni
   
 3. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  hapo see the dr for special assistance
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Dah! Pole sana. Hebu mPM njiwa au riwa.
   
 5. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,069
  Likes Received: 6,530
  Trophy Points: 280
  Pole sana, uwahi tu kwa dr.
   
 6. Billey J

  Billey J New Member

  #6
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana tafuta dawa ya Sensodyne huwa inatibu hilo tatizo
   
Loading...