Nisaidieni jamani! Kichwa kinauma sana, mpaka nahisi kufa

Kinacho trigger peptic ulcers ni gastric juice ambayo ni sehemu ya immune system kwa binadamu pia husaidia katika digestion. Gasrtic juice ni acidic
Heligo kit ni antibiotic inatibu gastric infections.

Ku control tatizo, ranitidine ni inhibitors. Zina control production ya gastric juice.
So what's the way forward mkuu?
Maana tatizo limekuwa kubwa...
Nataka kama nikitulia niende hospitali ya maana nimalize kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinacho trigger peptic ulcers ni gastric juice ambayo ni sehemu ya immune system kwa binadamu pia husaidia katika digestion. Gasrtic juice ni acidic
Heligo kit ni antibiotic inatibu gastric infections.

Ku control tatizo, ranitidine ni inhibitors. Zina control production ya gastric juice.
Samahani dada nashida nawewe naomba uni PM maana umeifunga PM yako nimeshindwa kulikamilisha hilo,nahitaji nikuulize baadhi ya vitu kuhusu CARDAMOMS.Ahsanteh
 
kuna uwezekano mkubwa ukawa una tatizo Kati ya haya yafuatayo:

Pressure
Alcoholism
Renal failure
Infection
Psychological issues.

Waone wataalamu wakupe msaada zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mpaka naandika hapa, nadhani yule malaika mtoa roho yuko mfuko wa Shari hap. Nisaidieni dawa wakuu ya kichwa kuuma na kubana sana, nitashukuru sana ikiwa ya kienyeji. Nb; nimeenda kupima, sins ugonjwa. Ila kichwa kinagonga sana.
kwa uzoefu wa kuumwa kichwa mpaka nahisi kuchanganyikiwa huwa ni pale nikiacha kuvaa miwani, hivyo nakushauri pamoja na yote uliyoshaurisha kapime na macho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mpaka naandika hapa, nadhani yule malaika mtoa roho yuko mfuko wa Shari hap. Nisaidieni dawa wakuu ya kichwa kuuma na kubana sana, nitashukuru sana ikiwa ya kienyeji. Nb; nimeenda kupima, sins ugonjwa. Ila kichwa kinagonga sana.
Kichwa kuuma husababishwa na vitu vingi sana.. na mwili hupenda kukitumia kichwa kuonyesha there is problem somewhere in your body..
Kinaweza sababishwa na;

■Upungufu wa maji ( more than 1% ya maji mwilini yakipungua huweza sababisha maumivu ya kichwa)

■Upungufu wa damu

■Malaria

■U.T.I

■BP

■Macho

■Kukosa usingizi (insomnia)

Check ivo vitu ivoo mkuu kama viko fresh usiishie kupima damu na mkojo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asanteni Wakuu Wote Mliochangia Na Kushare Uzoefu Wenu Kwa Swala La Kichwa Kuuma!
Nimechunguzwa, Imeonekana Nilikuwa Na Upungufu Wa Damu, Hivyo Nawashukuru Sana.

Upungufu Huo Umesababishwa Na Ulaji Mwingi Wa Limao, Nilikuwa Nakula Sana Limao, Sana Tu. Hivyo Nimeambiwa Niache/nipunguze Ulaji Wa Limao uliopitiliza.

Nashukuru Mpaka Muda Huu, Kichwa Kimekaa Sawa.

Shukrani!
 
kwanini ulikuwa unakula limao sana?
 
Back
Top Bottom