Nisaidieni Dawa Ya Jipu

Baraka Roman

JF-Expert Member
Feb 16, 2013
692
262
Nimekuwa nikisumbuliwa na jipu kila mwaka.Kwa miaka mitatu mfululizo ikifika mwez wa sita tu linatokea katikati ya makalio.

Ila mwaka huu limenitokea mwez wa pili na sasa naona dalili tena sehemu ni ile ile(Katikati ya Makalio) anayejua dawa ya kuliondoa msaada jamani.Naziona dalili zake sasa ila bado halijatoka

NB:Kukamua sio dawa kwangu maana miaka yote nilienda hospital wakanikamua ila tatizo linajirudia

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Majipu au uvimbe na chunjua.
Saga vitunguu saumu vibichi na funga vilivyopondwa kwenye sehemu ya jipu, uvimbe au
Chunjua mara mbili kwa siku na gandamiza. Anza matibabu haya mapema iwezekanavyo tumia siku 3 kisha uje hapa unipe Feedback.@Baraka Roman
KITUNGUUSAUMU.jpg


chanzo.MziziMkavu



 
Nimekuwa nikisumbuliwa na jipu kila mwaka.Kwa miaka mitatu mfululizo ikifika mwez wa sita tu linatokea katikati ya makalio.Ila mwaka huu limenitokea mwez wa pili na sasa naona dalili tena sehemu ni ile ile(Katikati ya Makalio) anayejua dawa ya kuliondoa msaada jamani.Naziona dalili zake sasa ila bado halijatoka
NB:Kukamua sio dawa kwangu maana miaka yote nilienda hospital wakanikamua ila tatizo linajirudia

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Mkuu unaweza kutumia vyote Vitunguu maji na Vitunguu Swaumu. Ama unaweza kutumia: cream ya maziwa, vinegar na manjano (tumeric powder. Pitia hapa:Mafanikio Na Afya Njema: Majipu au Jipu: Je Unao Au Unatokwa Na Usaa (Usaha)? - Natural Home Remedies for Boils
 
Back
Top Bottom