Nisaidieni chuo kinachotoa taaluma ya kuendesha mitambo ya barabara

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Ndugu wanajf wenzangu nimekwishatafuta chuo hicho kwa hapa nchini bila mafanikio.Tafadhali kwa anayefahamu naomba anisaidie ili niweze kufahamu inapopatikana elimu hiyo ya kuendesha mitambo hiyo hasa ile ya kulima barabara.
 
kkipo morogoro kuna rafiki yangu amesoma pale....nitakupm namba yake ila asijue kama nimekupa kwa msaada zaidi
 
Back
Top Bottom