Nisaidieni: 5mil Kuanzia biashara

Pearl

JF-Expert Member
Nov 25, 2009
3,036
309
Jamani poleni na majukum,kiukweli mshahara haunitoshi kabisaaaaaaa,natamani nifanye biashara lakini sijui ni ipi,nina kamtaji ka sh m5,nahitaji ushauri wenu,Mungu awabariki sana
 
Jamani poleni na majukum,kiukweli mshahara haunitoshi kabisaaaaaaa,natamani nifanye biashara lakini sijui ni ipi,nina kamtaji ka sh m5,nahitaji ushauri wenu,Mungu awabariki sana
peleka madagaa dubei!
 
mwe Pearl kuna site nyingine iko kule ya mambo ya mabizinesi na mabizinezi ..
mabinamu ushahuri na hekima vinahitajika hapa
 
Jamani poleni na majukum,kiukweli mshahara haunitoshi kabisaaaaaaa,natamani nifanye biashara lakini sijui ni ipi,nina kamtaji ka sh m5,nahitaji ushauri wenu,Mungu awabariki sana

Jinsia yako kwanza tafadhali. Maana najua kuna biashara za wanaume na wanawake!
 
I knw but hata ww kunishauri si tatizo,naamini hupungukiwi na kitu bali unaongeza knwledge
mwe Pearl kuna site nyingine iko kule ya mambo ya mabizinesi na mabizinezi ..
mabina ushahuri na hekima vinahitajika hapa
 
najua haiusiani lkn ningeweka sehem nyingine usingesoma kiharaka kiivi
acha niwasiliane na wakala wangu kisha utapata full infomesheni neksti wiki.
hii mada yako inahusiana vipi na mahusiano na mapenzi?
 
sorry, wakati mwingine jaribu kuwa serious kidogo.

kwa faida ya wengu kwa kweli.....pearl wengi tunaka/tumejaribu kujasiria mali tukakutana na vikwazo kwa hiyo ushauri utakaotolewa hapa utakusaidia si wewe tu hata watu kama mimi (very serious)
 
its very true,mm ni msichana muhangaikaji wen it comes kutafuta chapaa,nauza laptops,perfume,nguo,kuku wa kienyeji nk,but kuongeza biashara si vibaya as long as siibi na wala simtegemehi mtu zaidi ya Mungu Tu.
kwa faida ya wengu kwa kweli.....pearl wengi tunaka/tumejaribu kujasiria mali tukakutana na vikwazo kwa hiyo ushauri utakaotolewa hapa utakusaidia si wewe tu hata watu kama mimi (very serious)
 
Mkuu Kanunue Engine ya Boti ndogo, Tengeneza zile Ngalawa wanazovulia , nunua neti na mahitaji mengine kwa hiyo Ml 5 utatoka tu...Kodisha vijana wa kufanyie kazi hiyo ya uvuvi samaki kisha uza kwa jumla..!!!
 
sheeeeeeeeeeeeeee

Ok baada ya kujua jinsia yako, pia ningependa kujua yafuatayo kabla ya kutoa ushari;

1. Umesema mshahara wako ni mdogo na haukutoshi kwa hiyo unataka kufanya biashara ili ujiongezee kipato. Je huo mtaji wa Shs. 5m umeupata kutokana na ''savings'' zako au umekopa?
2. Kama umekopa, riba ni kiasi gani na je umeshaanza kufanya marejesho?
3.Umewahi kufanya biashara yoyote yenye mtaji usiozidi Shs. 5m?
4.Unaposema mshahara mdogo unataka kufanya biashara, je unataka kuacha kazi ufanye biashara ''full time'' au utaweka mtu wa kusimamia hizo biashara zako?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom