Nisaidien juu ya cloud account

mbwinde

Member
Dec 6, 2013
11
0
Ni account gani ys cloud ambayo naweza fanya back up ya picha na namba za sim pia nika ifungua kwenye computer yangu ns ku brouse data zangu na kuzi print
 
tumia skydrive kaka ina app ya desktop na pia utapata kwa simu kama una android au windows phone. hii ni kama una pc yenye windows.
 
Back
Top Bottom