nisaidien chumba cha kupangisha, mount mru, sanawari au philips | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nisaidien chumba cha kupangisha, mount mru, sanawari au philips

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by msikivuTz, Jan 23, 2012.

 1. m

  msikivuTz Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 25
  jaman nipo arusha, naomba kama naweza pata sehemu ya vyumba double maeneo ya either philips, mount meru au sanawari,..
  pale si mbali saana toka main road, thank you kwa msaada mtakao toa.
   
 2. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  kufanya hii kazi iwe rahisi we nenda mtaa unaotaka nyumba alafu ulizia madalali wa nyumba, wape kazi (ila mkubaliane kabisa malipo) unaipata faster ila ukizunguka wewe wenyewe hata miezi mitatu...nyumba hutapata kirahiri Arusha!!
   
 3. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mmh ungeweka hii kitu jukwaa husuka mkuu.
   
Loading...