Nisaidie shida ya CS3

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,886
1,005
Mimi ni mtumiaji mzuri wa Adobe CS3 premiere, Photoshop. illusrator, DVD encore n.k Nimekuwa nikiweka katika komputa yangu nzee na zinafanya kazi kama kawaida.
Lakini baadaye nilinunua komputa nyingine Hp na mwanzoni kila nilipoinstall software yoyote ya CS3 nilipata message kwamba licence expired. Na hapo niliamua kuacha kuzitumia badala yake niliendelea kutumia CS2 nilizokuwa natumia kabla na hizo hazina shida.
Wakati fulani komputa hii ilipata dhoruba ya virusi na ilinibidi ni format na ku install softwares zangu upya. Niliamua kujaribu kuweka tena zile softwares za Cs3 na sasa nilianza kupata message mpya yaani close internet explorer wakati ukweli ni kwamba internet explorer sijaifungua wala hakuna iliyo wazi.
Sasa jamani nisaidieni ndiyo shida yangu iko wapi? nani aliwahi kukutana na shida kama yangu akafanikiwa anisaidie?:confused:
 

JuaKali

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
776
114
Swali moja tu kabla hatujaenda mbali hizo adobe application umezinunua?
 

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,886
1,005
Pundit na Maxence Nashukuru nitajaribu kufuatilia na nitarudi na jibu hapa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom