Nisaidie kupata hivi vitabu halafu tutalipana namna hii

Application yako ya maktaba ni nzuri ila inasumbua Playstore inasema not available in this location.

Tafuta pia
Unyoya wa kipanga Azizi
Miale ya kwanza ya jua
Kuli
Fadhili msiri wa Naugua
Baada ya dhidi faraja
Hadithi za Wayao
Mitego ya anasa
 
Bahati mbaya App inapatikana Kenya na TZ. Hivyo vitabu ntavitafuta, tatizo moja bongo havipatikani kabisa. Mpaka maktaba za nje. Nimewakiona hicho Miale ya kwanza ya jua na Hadithi za wayao.

Unadhani kwenye national library vitakuwepo?
 
App hadi ufanye njia za mkato ndiyo unaipata, hongera wazo lako ni zuri sana kuhifadhi hivyo vitabu vinavyotoweka. Hivyo vitabu vilikuwa kwenye maktaba za mikoa na maktaba kuu ya taifa na vina asili ya USSR hicho cha Miale ni kikubwa mno ila hadithi nzuri sana ila miaka ilivyoenda huwezi kuvipata labda utafute kwa waluivisoma zamani wakahifadhi majumbani hasa wafanyakazi wa maktaba. Kuna maktaba ya shirika la elimu Kibaha nenda kajaribu, pia wakutubi wastaafu unaweza kuvipata. Hivyo vya hadithi za kale nenda Ndanda kabisa watakuwa na nakala au wauza vitabu waliokuwa wanauza kwenye vituo vya gari moshi.
 
Back
Top Bottom