Nisaidie kuchakachua Modem ya ZTE vodafone hizi mpya

NgajaChan

New Member
Feb 11, 2011
4
0
kama kunaanayeweza nipa software au link ya ku unlock Modem za voda nisaidieni inanisumbua sana
 
mkuu tumia dc unlocker ipo hapa hapa kwenye sub downlods.iliwekwa na cp.wala hukuwa na haja ya kujichosha kuandika. Pia ametoa na maelekezo namna ya ku-unlock modem zte na huawei.
 
mzee check thread iko jinsi ya ku unlock modem.pia specify modem ipi unatumia,huawei ama zte?
 
mwana i did all kwa kutumia dc unlocker huisemayo for huawei imework but 4 ZTE hakuna ndio maana naomba kama kuna software nyengine apart from that one
 
hata TZE unaweza kuichakachua kwa kutumia dc-unlocker.
 
mwana i did all kwa kutumia dc unlocker huisemayo for huawei imework but 4 ZTE hakuna ndio maana naomba kama kuna software nyengine apart from that one

mwana ebu tuambie ulipotumia dc unloker ilitoa msg gani ebu tupe ufafanuzi kabla yakuomba software ingine
 
Fr ZTE download join air hapa

Join Air Software Informer: version 1.0 information

ukitaka kutumia line nyingine ambayo cyo ya vodacom,simply close dashboard ya vodacom,hakikisha hairun kabisa kwenye task,uwe umeexit it kabisa,,then weka lain yako nyingine,launch hii program ya join air kisha uconnect...kwa kutumia join air..
kwa mara ya kwanza jaribu kuconnect voda kwa kutumia joinair,thentoa voda line,weka nyingine like airtell and then connect kwa kutumia joinair...

it is not lazima kutoa firmware ya vodacom,couse ukitoa honestly itabidi udownload driver za modem tena,,because firmware ya join hainstall complete drivers kwa ajili ya modem..

mimi natumia joinair bila ya matatizo..and currenly am using AIrtell and zantel for my internet
 
Wadau naomba kujua namna ya kuchakachua internet ya voda kwenye modem nitumie internet bure kabisa, nasikia kuna maujanja hayo lakini sijapata utaalamu huo, msaada please
Asanteni
Fr ZTE download join air hapa

Join Air Software Informer: version 1.0 information

ukitaka kutumia line nyingine ambayo cyo ya vodacom,simply close dashboard ya vodacom,hakikisha hairun kabisa kwenye task,uwe umeexit it kabisa,,then weka lain yako nyingine,launch hii program ya join air kisha uconnect...kwa kutumia join air..
kwa mara ya kwanza jaribu kuconnect voda kwa kutumia joinair,thentoa voda line,weka nyingine like airtell and then connect kwa kutumia joinair...

it is not lazima kutoa firmware ya vodacom,couse ukitoa honestly itabidi udownload driver za modem tena,,because firmware ya join hainstall complete drivers kwa ajili ya modem..

mimi natumia joinair bila ya matatizo..and currenly am using AIrtell and zantel for my internet
 
kama kunaanayeweza nipa software au link ya ku unlock Modem za voda nisaidieni inanisumbua sana

mkuu mbona hizi mordem mpya za voda zinachakachuliwa kwa kutumia unlock code tu we weka line nyengine kama airtel au tigo chomeka mordem yako itakuuliza unlock code ingia hapa Huawei Modem Unlocker 5.8.1.rar upate IMEI calculator ingiza IMEI number zako za mordem ktk calculator baada yahapo click calculator hapo chini utapata unlock code utaingiza ktk dashboard yako ya mordem mchezo utakua umeisha utaweza kutumia line yoyote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom