Nisaidie kuchagua jina

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Nov 18, 2014
424
1,044
Habari wana jamiiforums kama ulivyoona hapo juu naomba kama unajua nisaidie kunitajia majina ya mtoto wa "kike & kiume"

Majina yaanzie na herufi I
Kwa mtoto wa kike i,
Na mtoto wa kiume i.

Nataka kuoanisha majina kwa watoto wangu yaendaneherufi ya mwanzo

Majina yawe ya Wakristo tu.

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana jamiiforums kama ulivyoona hapo juu naomba kama unajua nisaidie kunitajia majina ya mtoto wa "kike & kiume"

Majina yaanzie na herufi I
Kwa mtoto wa kike i,
Na mtoto wa kiume i.

Nataka kuoanisha majina kwa watoto wangu yaendaneherufi ya mwanzo

Majina yawe ya wakristo tu.

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app

Isack
Isabela
Irene
Immanueli
Idda
Iddi
 
Habari wana jamiiforums kama ulivyoona hapo juu naomba kama unajua nisaidie kunitajia majina ya mtoto wa "kike & kiume"

Majina yaanzie na herufi I
Kwa mtoto wa kike i,
Na mtoto wa kiume i.

Nataka kuoanisha majina kwa watoto wangu yaendaneherufi ya mwanzo

Majina yawe ya wakristo tu.

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Girl: Isabelle.
Boy: Ian / Ivan
 
Back
Top Bottom