Private investigator
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 303
- 287
Ndoa yangu ilikuwa ya kikanisa, tumeshaachana na mke ameamua kuondoka mwenyewe.
Nawezaje kufuta cheti cha ndoa? Nina mpango wa kuoa mwingine. Ikizingatiwa Mimi in mtumishi wa umma na vyeti vya ndoa viko kwenye jalada langu. Bado ex wangu anatumia bima ya afya kwa utumishi wangu. Sijazaa nae kabisa.
Nifanye nini ili niwe guru kisheria?