NISADIENI KUTUNGA JINA la SHAMBA LANGU

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
3,401
1,604
Mwezi wa kwanza kabla haujaisha nitakuwa tayari nimeanza kufuga nguruwe kidogo, kuku kidogo na mbuzi kidogo.

Naombeni mnisaidie kutunga jina ambalo ji zuri, lina kumbukika kirahisi na ambalo nitaweza kulitumia kwenye biashara nyingine kama kuanzisha maji yangu, mabasi, stationaries nakadhalika.

Jina ambalo baadaye nitakuj kutumia katika kila biashara yangu kama ilivyo AZAM.

Karibuni.
 
Hiyo sasa si ni suala kuweka kiasi cha hiyo huduma!
Ili niwe wa msaaada jibu yafuatayo
1.unapendelea majina ya kiswahili au kiingereza?
2.n.k inaweza kutupa mwongozo mzuri
anza na hayo
mchunguzi co ltd
m huru co ltd
jina la kijiji ulichozaliwa
tuanzie hapo
 
likiwa ni jina la kiingerza lisiwe gum sana kusomeka, liwe jepesi kam neno mango, penalty.... sijui unanielewa yani majina fulani ivi mepesi mepesi, hata la kiswahili si mbaya ili mradi mtu ambaye si mswahili pia lisimpe shida kulitamka ii iwe rahisi kutangaza nje ya nchi. asante mkuu
 
Dreams, dreams! fanya kazi kwanza bhana, we unafkiri SSB alianza na hina? KAZI!
 
Nimewahi kuhangaika na hii issue personaly nikiwa nafungua kampuni nilipofika brera nikiwa na majina matatu yote yalikuwa yamesajiliwa, hivyo na hilo uwe nalo kichwani ya kilugha huwa yanakuwa unique
 
Mwezi wa kwanza kabla haujaisha nitakuwa tayari nimeanza kufuga nguruwe kidogo, kuku kidogo na mbuzi kidogo.

Naombeni mnisaidie kutunga jina ambalo ji zuri, lina kumbukika kirahisi na ambalo nitaweza kulitumia kwenye biashara nyingine kama kuanzisha maji yangu, mabasi, stationaries nakadhalika.

Jina ambalo baadaye nitakuj kutumia katika kila biashara yangu kama ilivyo AZAM.

Karibuni.

Hongera sana mkuu waweza jaribu haya kama unapendelea english Names: VISION, DAYDREAM, FANTACY, FANCY, ELEGANT, PROMINENT, GREAT, EMINENT, VITAL, CHIEF, PARAMOUNT, DOMINENT, MAJOR, PRIME,,,,,,,,,,,,,,,, Ukiunganisha na Enterprise ,,, Investments,,,,, Venture,,,,, Company,,,,, na mengine mengi kama bado hujarizika nijulishe tena bado yapo mengi sana kila la heri
 
Back
Top Bottom