nipokeeni

ando

Member
Oct 10, 2011
17
1
habari wanajf nimekuwa mfuatiliaji wa jukwaa hili kwa muda mrefu sasa wakati umefika na mimi nimeona nipate kuchangia badala ya kusoma mawazo wa wenzangu
naomba nitakapokosea munirekebishe polepole si kunizodoa
hodi waungwana
 
Karibu ila uzoefu unonyesha watu wengi wanajiunga na kujua mambo mengi sana huwa ni ID ya pili au zaidi. Kwa mujibu ya introdution yako karibu sana tunaamini utakuwa na mchango mzuri hapa JF.
 
Back
Top Bottom