INTROVERT MAN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 993
- 1,336
habari za wakti huu wapendwa.... kiufupi nimekuwa guest visitor wa jamii forums kwa kitambo kirefu tangu nimeijua sep.2017...kiukweli ni sehemu murua ambayo imenijuza mengi sana ambayo ni adimu kupata sehemu nyingine..natumaini nitazidi pata ushirikiano ksenu na kupanua zaidi mawanda ya ubongo wangu..