Nipokeeni uwanja wa ndege kwa wale Dar natoka Uingereza kimasomo

Julius Husseni

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
1,162
2,000
I would like to inform you members of jamii forums, I have got a short holiday, therefore I decided to journey to Tanzania to celebrate with you for Christmas day and new year. So my best friends especially for those living Dar.es Salam. just come to mwalimu nyerere air port, For the necessary assistance. Thanks for your hospitality my dear.
A day of arrival to Dar es Salam is 24th Saturday December, 2016 thanks
 
  • Thanks
Reactions: lup

KISHINDO

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
1,747
2,000
I would like to inform you members of jamii forums, I have got a short holiday, therefore I decided to journey to Tanzania to celebrate with you for Christmas day and new year. So my best friends especially for those living Dar.es Salam. just come to mwalimu nyerere air port, For the necessary assistance. Thanks for your hospitality my dear.
Wa kutoka UK anasema I have got????????

Kweli bado tuna kazi pevu.

Rais wangu endelea kutumia kiswahili tu, hakuna namna.

Ningekusahihisha kwa mengi lakini ngoja niishie hapo tu nisipoteze muda.
 
Kituko

JF-Expert Member
Jan 12, 2009
9,555
2,000
I would like to inform you members of jamii forums, I have got a short holiday, therefore I decided to journey to Tanzania to celebrate with you for Christmas day and new year. So my best friends especially for those living Dar.es Salam. just come to mwalimu nyerere air port, For the necessary assistance. Thanks for your hospitality my dear.
Ujiandae kaka, sisi sio watu wa mchezo mchezo, tutakutoza ushuru mpaka boxer zako,
 
Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
11,490
2,000
mie nitakuja kuwahi zawadi.......................................kabla hazijaisha ;):)

mleta mada inaelekea sio mchoyo,ni mtu anayependa watu..........

usisikilize watu wanaokukosoa na kiingereza chako,

waambie waparaphrase maneno uliyoyaandika,kama hujaona MAJANGA hapa....:D:D:D:cool::cool::cool::cool::cool:
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom