kofia ya plastiki
JF-Expert Member
- Jun 9, 2019
- 416
- 404
Helo nyie watu nipeni utaratibu wenu humu ndani kabla mbs zangu hazijaisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kofia ya plastiki tunaeelewa ID yako nyingine so usitusumbueHelo nyie watu nipeni utaratibu wenu humu ndani kabla mbs zangu hazijaisha
Utaratibu wa humu ni kusifia kila cha CCM hata kama ni kitu cha hovyo sanaHelo nyie watu nipeni utaratibu wenu humu ndani kabla mbs zangu hazijaisha
MeWewe ni KE au ME?
Ipi?Kofia ya plastiki tunaeelewa ID yako nyingine so usitusumbue
SeenHilo jina lako Kofia ya Plastiki lina maana gani?
Mimi najua kofia ya plastiki ni Kondomu je nipo sahihi?
Karibu kundini.
SawaUtaratibu wa humu ni kusifia kila cha CCM hata kama ni kitu cha hovyo sana
Ngoja tuiblockIpi?
We huu mtandao wa ukoo wako?Ngoja tuiblock
SawaKaribu mgeni, ila matusi hayaruhusiwi
sasa subiri upate block zote 2We huu mtandao wa ukoo wako?
Hahha we jamaaasasa subiri upate block zote 2
Sio sawa, unachoambiwa changanya na akili zako we CCMSawa
Sina ChamaSio sawa, unachoambiwa changanya na akili zako we CCM
Basi na mawazo yako yawe huruSina Chama