Nipo Ubungo stendi narudi kijijini hali ya mgao wa umeme wa Ngeleja imenishinda! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nipo Ubungo stendi narudi kijijini hali ya mgao wa umeme wa Ngeleja imenishinda!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Jul 19, 2011.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,244
  Likes Received: 3,787
  Trophy Points: 280
  Aheri nirudi kijijini vava segito de yani nikiendelea kuwepo hapa mjini mwishowe nitaozea segerea bureeeee kisa Ngeleja na genge lake la ccm fu****k Tanesco!!Makampuni yangu yanazidi kufilisika na wafanyakazi hawaelewi somo, hali ni mbaya vandugu!!
   
 2. g

  geophysics JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Salaam zao, waambie huko wabadilike vyama vingi si vita kama wanavyodhania.... pia waelimishe waondokane na usemi wa TANU....CCM ndo chama chetu kimetulea tuendelee kukitetea...... Usisahau kuwapelekea mikate na mandazi huko ni adimu... Bon Voyage.
   
 3. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Usisahau kubeba furushi la mishumaa ama koroboi
   
 4. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #4
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,244
  Likes Received: 3,787
  Trophy Points: 280
  Nashukuru narudi ktk zama zamaisha yetu ya vikoroboi! Chakufurahisha zaidi nimefika kwenye basi yani nimejihisi kama nishafika kijiji vile yani hapa ni mwendo wa Kamwene be mnogage, hureeeeeee wacha nikafaidi life ya bush!!!!
   
 5. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wewe maisha yamekushinda kwa ujumla wake, usitoe visingizio vya umeme.
   
 6. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #6
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,244
  Likes Received: 3,787
  Trophy Points: 280
  Ninakumbuka kule kijijini ukiona mshumaa bac ujue nyumba hiyo ni ya mwilimu mkuu au dr wa dispenzari ya kijiji
   
 7. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  vahungilage mbevali, lkn hiyo koroboi nayo balaa mafuta ya taa bei juu.
   
 8. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mkuu umepanda Upendo au Budget?
   
 9. TinyMonster

  TinyMonster JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Na bado...

  CCM wakimaliza kututafuna mjini na huu mgawo upnext ni vijijini. Mtalima sana lakini sehemu ya kuuza mazao kwa bei nzuri hamtapata na mkitaka kuyauza kimagendo nje ya nchi mtakamatwa na kuitwa wahujumu uchumi wa nchi. Baada ya miaka miwili kijijini kutakuwa kugumu mtakuwa mnashindia maembe yaliyotiwa pilipili na maji meengi hadi wanenu vitumbo vitawatoka kwa kukosa lishe bora.

  Baada ya hapo watakuja wawekezaji toka ulaya ambao watasema wamekuja kuingia ubia na watanzania kwa ajili ya kutekeleza sera mufilisi ya Kilimo Kwanza, mtawakatia maeneo makubwa ya ardhi yenu yenye rutuba wataleta vifaa vya kisasa na ubia wenu utakuwa kugeuzwa vibarua katika mashamba yao, watachapa sana zenu na kuwatia mimba na kama ilivyokuwa afrika ya kusini huko vijijini litaanza taifa jipya la colored people ambao sijui watajiita afrikaner au wanyalu-kana.

  Mungu akutangulie kiongozi, maisha yakikushinda unakaribishwa mjini tena usione aibu tutabanana kwenye mabanda ya uwani Tandale.
   
 10. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mi nilisema toka mwanzo, bora turudi vijijini...
   
 11. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Mkuu usipande busi la chinja chinja (sumry)
   
 12. F

  FUSO JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,339
  Trophy Points: 280
  Mkuu unapanda basi gani? Lupelo Trans? nataka kuja nikupe kufurushi umpelekee dingi yangu. Na mimi nakuja huko huko mwezi ujao, tutakuja kuongea zaidi kuhusu kilimo cha vitunguu nasikia vina siko sana Kenya. Vitunguu havitahitaji umeme wa ngeleja.
   
 13. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #13
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,244
  Likes Received: 3,787
  Trophy Points: 280
  Nipo morogoro mida hii nimepanda Luwinzo Express!
   
 14. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #14
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,244
  Likes Received: 3,787
  Trophy Points: 280
  Nimepanda Luwinzo Express! Ndivahungila mbevali!!
   
 15. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Bora ubaki mjini. huko uendako hali ni mbaya zaidi mkuu.
  Nakushauri ubadilishe biashara. Anza biashara ya vibatari na mishumaa inalipa sana kwa sasa.
   
 16. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #16
  Jul 19, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Najua unatania.
   
 17. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #17
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,244
  Likes Received: 3,787
  Trophy Points: 280
  We unaona huu mgao ni wautani hee? Au we ni sehemu ya familia ya Ngeleja?Nipo Msamvu naanza kuitafu Iringa kilaiiini!!
   
 18. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #18
  Jul 19, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa kule vijijini hali ni mbaya zaidi, baada ya wiki moja ataonekana kama mzee!!!
   
 19. H1N1

  H1N1 JF-Expert Member

  #19
  Jul 19, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 4,201
  Likes Received: 528
  Trophy Points: 280
  Wadhungu wanasema eti Waafrika daima tuko busy kurudi tulikotoka,yawezekana hata hili swala la umeme ni Juhudi za CCM kuturudisha tulikotoka
   
 20. H1N1

  H1N1 JF-Expert Member

  #20
  Jul 19, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 4,201
  Likes Received: 528
  Trophy Points: 280
  Navalonge swela...
   
Loading...