Nipo tayari kuuza kura yangu nikipata ajira

fullcup

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
806
2,182
Watanzania wote poleni na msiba mzito ulioikumba nchi yetu kwa kuondokewa na Rais mstaafu.

Pongezi kwa CHADEMA kwa mapokezi ya mtia nia ya kugombea urais.

Niende kwenye mada

Ndugu watanzania Mimi fullcup nikiwa na akili timamu bila kushawishika na mtu nipo tayari kuuza kura yangu kwa chama kitakachonipa ajira kabla ya uchaguzi mkuu.

Ikumbukwe Mimi nimehitimu shahada ya Elim(B.A.Ed) mwaka 2015 na nimesugua benchi vyakutosha. Nimeambiwa nikajiajiri Mara nyingi na nimejaribu bila mafanikio. CCM mkitangaza ajira kabla ya uchaguzi kura yangu na jamaa zangu mtazipata zoooote, lakini nje ya hapo bora tumpe huyu huyu.

Niliona mmeandika kijitangazo eti waluojitolea waandikwe majina yaje ili iweje? Waliojitolea wengi ni sayansi kwa malipo kidogo ambayo hata nyinyi msingekubali. Bad enough wengine hata kujitolea tuongeze uzoefu tulikataliwa! Nipeni kazi mpate kura yangu na zetu.

Wahitimu wenzangu ndani na nje ya siasa wa mwaka 2015,2016,2017,2018 & 2019 wasipotuajiri tusiwape kura.
 
Umesikika ila akili na mawazo ya mtu mmoja na mwingine hutofautiana
 
Wajumbe ambao ni STD 7,wameuza Kura yao kwa tsh 200,000 kwa kila mgombea kwenye jimbo.kwa hiyo Kama wagombea ni 40 kwenye Jimbo moja zidisha Mara TSH 200,000 ndizo fedha mjumbe mmoja wa STD 7 amepokea.sasa wewe graduate uko nyumbani miaka mitano iliyopita huna kazi unatoa kura yako Bure, utakuwa huna akili timamu
 
Ajira ni haki ya msingi kwa kijana yeyote ila hayawani wanasiasa wamewarubuni vijana. Na wakitoa ajira chache hujisifu na kujinadi kana kwamba wanalipa Pesa zao kutoka mfukoni
 
Back
Top Bottom