alexelias
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,032
- 3,198
Hata kwa kukatwa panga,nipo tayari.
Nasema hivyo kwa sababu ninao uhakika wale jamaa hawana lolote!
Dalili ya mvua huwa ni mawingu.Hivi sasa hawa watu ni wakuonea huruma!Hawana masikini tumaini lolote!Wamebaki kudandia mambo ya ovyo kabisa!
Hivi,kushadadia askofu wa kikanisa amesema nini ndiyo sera?
Mbunge flani kasema kile ndiyo sera?
Mange amesema kile ndiyo sera?
Na mengine mengi!
Hawa ni watu sahihi kweli?!
Hata huo mwaka wakishika dola mm na niuawe!