Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,175
- 39,936
Hapa ndipo ulipoharibuSina account nyingine mkuu ninayo hii hii moja sema nn ma namba yangu hayo hapo 0622271517 nimependa tuwe closer friend mkuu sio kwa ubaya lakin
Hapa ndipo ulipoharibuSina account nyingine mkuu ninayo hii hii moja sema nn ma namba yangu hayo hapo 0622271517 nimependa tuwe closer friend mkuu sio kwa ubaya lakin
Tunatathmini by 'sample' ili kujua kama nyama ni laini au ni ngumu
waachieni jaman ili siku alete mrejesho jinsi alivyoangusha pochi yake..😁Mkuu kisa nn?
i love u upo..?😋Bila shaka huyu ndie muhusika
Ahsante mkuu,na hapana si kwa ubaya lakini.Sina account nyingine mkuu ninayo hii hii moja sema nn ma namba yangu hayo hapo 0622271517 nimependa tuwe closer friend mkuu sio kwa ubaya lakin
Mpigie hata askie tu basi sauti yako...Ahsante mkuu,na hapana si kwa ubaya lakini.
Uwe na wakati mwema.
Vijana Damu znachemukaaa kweri kweriHeeheheh mjomba umekuja na ukali! Baada ya mtoso umeshaanza kuparamia wana jeiefu?
Duh@ledada hyo hapana ungempea PM...too bad kwa kjana huyu.Ahsante mkuu,na hapana si kwa ubaya lakini.
Uwe na wakati mwema.
We unaonekana mkali sana, wanaume hatutaki wanawake wakali wakali..Ila utapata tu
Umeamua kumpiga nyundo utosini aisee, ndio maana mi naogopa kutongozaAhsante mkuu,na hapana si kwa ubaya lakini.
Uwe na wakati mwema.
Mwambieni huku ni ulimwengu wa mazimwiHeeheheh mjomba umekuja na ukali! Baada ya mtoso umeshaanza kuparamia wana jeiefu?
Umepanga kuanza na staili gani?Wakuu kupitia JF imetufanya tuwe kama ndugu na pia JF ni chombo kilichotuunganisha watu tofauti tofauti. So sioni ubaya wowote kama siku moja nitapata moja baridi na huyu member wa JF ledada ninamkubari sana huyu dada na napenda kuanzisha urafiki ikiwa tu atakubali ombi langu
Nataka ka ofa ka kumtoa out siku moja tukapata nyama choma na moja moto sio kwa ubaya ila ledada i have something special for you
We unaweza usiwe na noma una uhakika Mr Pablo Hana noma ? Sio mtu wa miraba minne kweli
Ni msalaMwambieni huku ni ulimwengu wa mazimwi
Katika bar ya familia yenu?
Washaachana yupo single anasimamia bar ya baba yake! Cheza na mabinti wa machameWe unaweza usiwe na noma una uhakika Mr Pablo Hana noma ? Sio mtu wa miraba minne kweli
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app