Futa sadaka weka mchele.....
Hiyo ilikua mwanzo wa mwezi utuonyeshe na ya tarehe 17 mpaka 23View attachment 1122082
Kama picha inavyojionesha ndugu, wenye uzoefu na ujuzi nipeni maoni na ushauri, taie home 500
hivi tango sio tunda !???
Anyway, ongezea na maji ya kunywa 97,000 na juice 89,000 , pia kuweka bajeti ya nguo bila viatu sio poa, vuta hata sneaker moja ya 73,000
nmecheka mnohivi tango sio tunda !???
Anyway, ongezea na maji ya kunywa 97,000 na juice 89,000 , pia kuweka bajeti ya nguo bila viatu sio poa, vuta hata sneaker moja ya 73,000