BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 910
- 2,164
Sorry team nnaomba ushauri
Nina girl ambaye tumedumu almost miaka 4
Hapo mwezi wa 3 alisafiri kwenda Mwanza
Ikumbukwe kuwa wakati anaondoka hatukusex kama miezi miwili
Ikawa kila alipokuwa na shida ananitafta nami ninajitahd kadri ya uwezo wangu kumsaidia
Sasa amerudi ila
1.Sijapewa taarifa kuwa anarudi
2.Nilipomuuliza alianza kunijibu jeuri
3.Anasema ananichukia
4.Anasema hajisikii kama ilivokuwa zamani kuwa nami
5.Kila nikitaka tuonane anasema hana nafasi
Jana kanieleza kuwa moyo wake umekuwa mzito kuwa nami so anaomba tuachane
Kwakuwa alikuwa ananijibu jeuri na kwa dharau nikaona isiwe shida...TUACHANE TU
Ghafla amebadilika muda huo huo anasema alikuwa ananitania!!
Lakini ninaona kila siku ni yaleyale!!..kama hana time na mimi vile!!
Leo nimemuomba tutoke out kasema hana nafasi
Ushauri ndugu maana ninaumiza kichwa vibaya mno