Nipo njiapanda: Kanieleza kuwa moyo wake umekuwa mzito kuwa nami so anaomba tuachane

BradFord93

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
910
2,164
Sorry team nnaomba ushauri

Nina girl ambaye tumedumu almost miaka 4
Hapo mwezi wa 3 alisafiri kwenda Mwanza
Ikumbukwe kuwa wakati anaondoka hatukusex kama miezi miwili

Ikawa kila alipokuwa na shida ananitafta nami ninajitahd kadri ya uwezo wangu kumsaidia

Sasa amerudi ila
1.Sijapewa taarifa kuwa anarudi
2.Nilipomuuliza alianza kunijibu jeuri
3.Anasema ananichukia
4.Anasema hajisikii kama ilivokuwa zamani kuwa nami
5.Kila nikitaka tuonane anasema hana nafasi
Jana kanieleza kuwa moyo wake umekuwa mzito kuwa nami so anaomba tuachane

Kwakuwa alikuwa ananijibu jeuri na kwa dharau nikaona isiwe shida...TUACHANE TU
Ghafla amebadilika muda huo huo anasema alikuwa ananitania!!

Lakini ninaona kila siku ni yaleyale!!..kama hana time na mimi vile!!
Leo nimemuomba tutoke out kasema hana nafasi

Ushauri ndugu maana ninaumiza kichwa vibaya mno
 
Sasa amerudi ila
1.sijapewa taarifa kuwa anarudi
2.nilipomuuliza alianza kunijibu jeuri
3.anasema ananichukia
4.anasema hajisikii kama ilivokuwa zamani kuwa nami
5.kila nikitaka tuo8 anasema hana nafasi

mpaka hapo tukushauri nini ndugu, au huyu msichana ndio alikutoa bikira.......
 
Wanaume wa huko mwanza inaonesha walisha simamia show effectively ndio maana zarau zimempanda.

Pia chini huyo tafuta mwingine mwenye discipline.
 
Sorry team nnaomba ushauri

Nina girl ambaye tumedumu almost miaka 4
Hapo mwezi wa 3 alisafiri kwenda Mwanza
Ikumbukwe kuwa wakati anaondoka hatukusex kama miezi miwili

Ikawa kila alipokuwa na shida ananitafta nami ninajitahd kadri ya uwezo wangu kumsaidia

Sasa amerudi ila
1.Sijapewa taarifa kuwa anarudi
2.Nilipomuuliza alianza kunijibu jeuri
3.Anasema ananichukia
4.Anasema hajisikii kama ilivokuwa zamani kuwa nami
5.Kila nikitaka tuonane anasema hana nafasi
Jana kanieleza kuwa moyo wake umekuwa mzito kuwa nami so anaomba tuachane

Kwakuwa alikuwa ananijibu jeuri na kwa dharau nikaona isiwe shida...TUACHANE TU
Ghafla amebadilika muda huo huo anasema alikuwa ananitania!!

Lakini ninaona kila siku ni yaleyale!!..kama hana time na mimi vile!!
Leo nimemuomba tutoke out kasema hana nafasi

Ushauri ndugu maana ninaumiza kichwa vibaya mno
Ngosha wameshafanya yao.
 
Ndorooooobo weweeee piga chini huyo anza na mengine
 
Badala ya kuendelea kuumiza kichwa hapo njia panda, nakushauri uanze kusonga mbele mdogomdogo maana hapo huna chako tena.
 
Jana ukaona isiwe shida bora muachane, Jana hiohio anakutania , Leo unataka mtoke out??? Hahhahahahah, jiongeze wewe mwenzio anakuona umedata kwake atakuchezea kila aina drama
 
Sasa amerudi ila
1.sijapewa taarifa kuwa anarudi
2.nilipomuuliza alianza kunijibu jeuri
3.anasema ananichukia
4.anasema hajisikii kama ilivokuwa zamani kuwa nami
5.kila nikitaka tuo8 anasema hana nafasi
Jana kanieleza kuwa moyo wake umekuwa mzito kuwa nami so anaomba tuachane

mpaka hapo tukushauri nini ndugu, au huyu msichana ndio alikutoa bikira.......
Nap mkuu!!...ila just ndo maana nkaomba ushauri coz kila mtu ana experience tfaut
 
mwehu huyo anataka kukupotezea mipango yako, achana nae, fanya mengine ya msingi utakutana na mkali wao ktk pirika pirika zako za maisha, hii ni siri nakuibia, kama sisi tunavyokuwa makini kuchagua wotot wazuri na wenye tabia flani uzitakazo, wanawake pia ni hivyo, so kuwa na amani yupo mwanamke ambaye anaitafuta hiyo nafasi ya kuwa nawe, na pengine huyo aweza akawa ndio mke mtarajiwa, achana na huyu fukufuku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom