Nipo njia ya panda, Japan.....sijui...nie......dah!

ggg

Member
Nov 3, 2010
60
0
Jamani nipo njia ya panda.Kuna full sponsoreship kwenda kusoma masters Japan, course: Nucleur Enginering, mmi nime graduate pale udsm, Electro-mechanical engineering, NILIMALIZA MWAKA JANA, nafanya kazi nalipwa 600,000/= kwa mwezi. nahisi kwenda huko ni kupoteza muda kulingana na hali harisi ya tanzania kwenye sector ya nucleur, naomba michango yenu. Program inaanza mwakani october.mchakato wa kuwa enrolled mwisho ni december 10, 2010.Wasiwasi wangu ni kwenye ajira. Nifungueni macho jamani kama yamefumba
 
Kwani ni lazima ufanye kazi tz? Nafikiri wapo watz wengi wanaofanya kazi nje.
Katika research yako ya kupata kazi jaribu kuangalia na nchi za jirani.
Kwa tz fanya tafiti after some years kama kutakuwa na market ya taaluma yako.
Pia angalia zaidi moyo wako unataka nini.
Kila la kheri.
 
usiangalie umbali wa pua tu...we sema hivyo hivyo nuclear haina dili wakati migodi ndo ishaanza kuvumbuliwa..shauri zako....go kijana go...mi mwenyewe namalizia viporo vya b.tech yangu hapa nianze mishemishe za masters
 
Jamani nipo njia ya panda.Kuna full sponsoreship kwenda kusoma masters Japan, course: Nucleur Enginering, mmi nime graduate pale udsm, Electro-mechanical engineering, NILIMALIZA MWAKA JANA, nafanya kazi nalipwa 600,000/= kwa mwezi. nahisi kwenda huko ni kupoteza muda kulingana na hali harisi ya tanzania kwenye sector ya nucleur, naomba michango yenu. Program inaanza mwakani october.mchakato wa kuwa enrolled mwisho ni december 10, 2010.Wasiwasi wangu ni kwenye ajira. Nifungueni macho jamani kama yamefumba

utakuja kujuta huko mbele ya safari usipokwenda kusoma, kumbuka atomic energy industry is growing day by day na kuna siku itakuja kulipuka na wasomi hakuna. kwanza hapa Tanzania hawana hao wataalamu wa kutosha. kumbuka tuko kwenye mchakato wa kuttumia atomic energy in the future.
angalia Geology inavyolipa sasa na zamani walivyokuwa wankaa kwenye mawe.
nenda kaka usiache hiyo nafasi. unaposoma usiangalie opprtunities zilizopo. hata kama ungekuwa unalipwa vizuri bado hiyo isinge justify kuacha kwenda kusoma.
soma ndugu yangu kwani fortune zitafumuka huko mbele yako hadi ushangae uko UN pasi kutegemea.
 
I WISH I COULD BE YOU MAN! Kimsingi nenda kapige shule kwa taarifa nilizonazo wataalamu wa hiyo fani ni wachache na weng ndiyo wamzeeka. So kwa maana hii ina market kubwa na itakuja kulipa safi. Hata hapo nyumbani Bongo am sure tutakuhitaji mtu kama wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom